MeccaCheka ft Nakaaya wanakuletea track yao mpya Darasa Huru.
"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufahamu kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia rakata, cheka Ung'atwe na pole tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi, Riz asema Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878".

No comments:
Post a Comment